Kisakinishi cha Nuru kwenye Android (Termux)
Una uwezo wa kufunga nuru kwenye simu yako ya Android kwa kutumia Termux. Unaweza kufanya hivyo kwa kufuata hatua zifuatazo:
Mahitaji
- Termux (Pakua kutoka F-Droid)
Ufungaji
Pakua kisakinishi na amri hii
bash
curl -O -L https://github.com/AvicennaJr/Nuru/releases/download/v0.5.17/nuru_Android_arm64.tar.gzcurl -O -L https://github.com/AvicennaJr/Nuru/releases/download/v0.5.17/nuru_Android_arm64.tar.gzFungua kisakinishi na amri hii
bash
tar -xzvf nuru_Android_arm64.tar.gztar -xzvf nuru_Android_arm64.tar.gzOngeza nuru kwenye njia
bash
echo "alias nuru='~/nuru'" >> .bashrcecho "alias nuru='~/nuru'" >> .bashrcRejesha mazingira ya bash
bash
source ~/.bashrcsource ~/.bashrcThibitisha kisakinishi kwa
bash
nuru -vnuru -vHapa utaona toleo la nuru kwenye simu yako ya Android.
Matumizi
Unaweza kutumia nuru kwa kufuata amri zifuatazo:
bash
nurunuru