Kisakinishi cha Nuru kwenye Windows
Una uwezo wa kufunga nuru kwenye kompyuta yako ya Windows kwa kutumia Kisakinishi cha Nuru kama inavyoonyeshwa hapa chini:
Kisakinishi cha Nuru
- Pakua Kisakinishi cha Nuru Hapa
- Fungua zip iliyopakuliwa
- Sakinisha kisakinishi ulichopakua (Bofya mara mbili kwenye kisakinishi)
Unaweza kuangalia mwongozo kamili wa jinsi ya kufunga nuru kwenye Windows Hapa