Kisakinishi cha Nuru kwenye Mac OS
Una uwezo wa kufunga Nuru kwenye kompyuta yako ya Mac OS kwa njia tatu:
- Kutumia binary cha Nuru
- Kutumia brew
- Kutumia Kisakinishi cha Nuru
Binary ( Apple silicon Mac )
- Pakua binary ya Nuru
bash
curl -O -L https://github.com/AvicennaJr/Nuru/releases/download/v0.5.17/nuru_Darwin_arm64.tar.gz
curl -O -L https://github.com/AvicennaJr/Nuru/releases/download/v0.5.17/nuru_Darwin_arm64.tar.gz
- Fungua binary ili kuifanya iweze kutumika kwa kila sehemu
bash
sudo tar -C /usr/local/bin -xzvf nuru_Darwin_arm64.tar.gz
sudo tar -C /usr/local/bin -xzvf nuru_Darwin_arm64.tar.gz
- Thibitisha binary kwa:
bash
nuru -v
nuru -v
Binary ( Apple Intel Mac )
- Pakua binary ya Nuru
bash
curl -O -L https://github.com/AvicennaJr/Nuru/releases/download/v0.5.17/nuru_Darwin_amd64.tar.gz
curl -O -L https://github.com/AvicennaJr/Nuru/releases/download/v0.5.17/nuru_Darwin_amd64.tar.gz
- Fungua binary ili kuifanya iweze kutumika kwa kila sehemu
bash
sudo tar -C /usr/local/bin -xzvf nuru_Darwin_amd64.tar.gz
sudo tar -C /usr/local/bin -xzvf nuru_Darwin_amd64.tar.gz
- Thibitisha binary kwa:
bash
nuru -v
nuru -v
Brew ( bado inafanyiwa majaribio )
Kwa sasa, nuru haipatikani kwenye brew. Walakini, unaweza kuisakinisha na tap kutoka kwa @fredygerman
Kwa sasa tap inapatikana tu kwa Macs za Apple silicon.
bash
brew tap fredygerman/nuru-tap
brew tap fredygerman/nuru-tap
Binary ( Intel Mac )
Inakuja hivi karibuni
Kisakinishi cha Nuru
Inakuja hivi karibuni