Kisakinishi cha Nuru kwenye Linux
Una uwezo wa kufunga nuru kwenye kompyuta yako ya Linux kwa kutumia faili ya kutekelezeka kama inavyoonyeshwa hapa chini:
Pakua faili ya kutekelezeka kwa amri hii
bash
curl -O -L https://github.com/AvicennaJr/Nuru/releases/download/v0.5.17/nuru_Linux_amd64.tar.gzcurl -O -L https://github.com/AvicennaJr/Nuru/releases/download/v0.5.17/nuru_Linux_amd64.tar.gzFungua faili ili kuifanya iweze kutumika kwa kila mtu
bash
sudo tar -C /usr/local/bin -xzvf nuru_Linux_amd64.tar.gzsudo tar -C /usr/local/bin -xzvf nuru_Linux_amd64.tar.gzThibitisha kisakinishi kwa
bash
nuru -vnuru -v